Karibu Avocado Microcredit Limited upate Mkopo kwa haraka.

Karibu, pata mkopo wako sasa kwa riba (3.5%) na gharama nafuu.

Mkopo Wa Haraka.

Mkopo unapatikana kuanzia Laki Tano(500,000/=) hadi Milioni ishirini  (20,000,000/=), na pesa itatumwa kwenye account ya benki au mtandao wa simu ya mteja ndani ya masaa 24.

KUHUSU AVOCADO MICROCREDIT LIMITED

Avocado Microcredit Limited.

Avocado Microcredit Limited ili anza kutoa huduma ya mikopo kuanzia mwaka 2021.

Kampuni hii imesajiliwa BRELA na kutambulika na Benki Kuu (BoT) kama biashara ya huduma ndogo za fedha daraja la pili

3+

Zaidi ya Miaka mitatu ya kukopesha.

1500+

Wateja Tulio Hudumia.

Tsh 500,000,000+

Mikopo iliyotolewa.

Masharti ya Mkopo.

  1. Mfanyakazi au mfanya biashara.
  2. Dhamana ni mali za mkopaji (vitu vya samani), au nyaraka za chombo cha moto(mfano kadi ya gari au pikipiki) kinacho milikiwa na mkopaji.
  3. Vitambulisho vinavyo tambulika kiserikali, mfano NIDA au Leseni ya udereva.
  4. Mdhamini (mmoja au wawili) aliye na kitambulisho kinacho tambulika kiserekali, mfano NIDA au Leseni ya udereva.

Je! una maswali?

Kama unataka kujua taarifa za ziada kuhusu huduma yetu, wasiliana nasi.

Scroll to Top